tag:blogger.com,1999:blog-5110164800017678033.post8577782878289721592..comments2023-07-28T09:08:09.526-07:00Comments on Current News: JIFUNZE SHERIADAGGINEYhttp://www.blogger.com/profile/09583841101686106506noreply@blogger.comBlogger3125tag:blogger.com,1999:blog-5110164800017678033.post-90064341748449442162020-10-30T03:48:51.414-07:002020-10-30T03:48:51.414-07:00AhksanteAhksanteAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/06434629843419603614noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5110164800017678033.post-21833829625553845962020-01-15T22:40:52.803-08:002020-01-15T22:40:52.803-08:00Je naweza kupata nakala ya hii sheria ya ardhi nyu...Je naweza kupata nakala ya hii sheria ya ardhi nyumba na makaziAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/04139834139878507726noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-5110164800017678033.post-55395921687433358332016-11-30T22:16:02.992-08:002016-11-30T22:16:02.992-08:00Mwanzoni mwa mwaka huu, naibu waziri Angelina Mabu...Mwanzoni mwa mwaka huu, naibu waziri Angelina Mabula alipiga marufuku tozo za Tzs elfu 30 zilizokuwa zinatozwa na mabaraza ya kata kwa akili ya kupeleka files za kesi mahakama za wilaya. Alibainisha kuwa tozo hizo hazipo kisheria. Naomba kujua, jee Ni tozo zipi zipo kisheria ambazo mabaraza ya kata yanaruhusiwa kutoza? Jee malipo ya tozo za mabaraza ya Ardhi ya kata yanalipwa pasipo ulazima wa kata kutoa receipt kwamba wamelipwa pesa kwa tozo Fulani? Jee tozo ya Tzs elfu 30 kwa mlalamikaji na kiasi hicho hicho cha tozo kwa mlalamikiwa kwa ajili ya baraza kuhamisha kesi kwenda eneo la mgogoro Ni halali kisheria? Au linaruhusiwa hata pasipo sheria? Au Ni utaratibu unaoruhusiwa kufanyika kimazoea na pasipo ulazima wowote WA kutoa receipt yeyote kwa mlipaji wa tozo hizo?Shiwallerhttps://www.blogger.com/profile/01725277070641579039noreply@blogger.com