OTHER WEBSITE LISTS


Monday, July 25, 2011

mkutano wa mashetani Julai 30

Bismilah-Rahman-Rahim

THE SAINTS DARKNESS IN THE WORLD

UNDER GROUND DRAGON

SECTION WXXX69

23.05.2011

TO OUR DEAREST SAINTS

TANZANIA; KENYA AND UGANDA

Tunawapa pongezi kwa juhudi zenu juu ya kazi ngumu: tuliyonayo nyakati hizi za mwisho juu ya kuja kwake Adui yetu kulichukua kundi lake.

Tuna Mbinu ambazo kufikia sasa zinaendelea kufaulu nab ado zingine zina shida sana upande wetu kuzifanikisha!!

Tungependa kuwaalika rasmi kwenye “kongamano kuu la Africa Mashariki na kati “Mwishoni mwa mwezi 30/07/11.

Jambo hili sio la kawaida kwetu japakuwa itakuwa mwisho wa mwaka. Lakini mambo yetu yanazidi kuharibika kwa upande wetu na baadhi yetu mkashindwa kutekeleza wajibu wenu wengine kukosa nguvu kwa kukawia kutoa sadaka zao.

Kwa usalama wetu acha tukutane nje ya mji katika lango kuu la kuzimu “Mushitara-Dar es Salaam” saa 6.30 usiku hadi saa 9.00 usiku na viti vyetu ni watu; bila kusahau chupa ya lita 5 za damu za watu na mchanga wa kanisani.

Kulingana na lengo letu mambo ambayo tutayazungumzia ni mbinu ambazo tungelifanya ili kuzuia Maombi yao adui zetu na kuvunja amani ya jamii kupitia Migogoro na Migongano ya familia hasa kwa viongozi wakuu wa Makanisa ya Kiroho na kuliwahi kundi lao.

Lengo letu kubwa ni kuhakikisha tunamwangamiza hasa aliyekuwa Mkuu wetu wa uchawi Africa Mashariki na kati ndiye anayezifahamu siri zetu nyingi sana akawa amechukuliwa na adui yetu na kanisa lake linaenda kwa kasi saana wakiwachukua watu wetu maana amefichwa mno.

Kwa kulifanikisha jambo hili na watakieni nguvu kupitia kwa damu yetu DWS-UD na unasema mara sita; ukiwa umesimama na mara sita umechuchumaa, mara sita ukiwa umelala huku ukiwa uchi (666)

AMRI: sasa nendeni kwao ili kuharibu nguvu zao kwa kutumia sheria No. 999 WD ili kujificha (usionekane) unapozidi kuwasogelea na kuwafunga wanaume, wanawake na watoto wao.

Pia kumbukeni Yule M/kiti wetu wa wachawi Africa Mashariki na Kati aliyechukuliwa na adui yetu alipoanza maombi yake mmerudi nyuma sana.

Huenda mambo yetu yakawa Mabaya zaidi ndio maana tunawahitaji mkapokee nguvu.

Pasipo kusahau kuwa yupo yule;

URGENT WETU MSALITI WA 1993.

Maeneo hayo tumempa jukumu kupambana naye ni (Madam-mwanamke) wa No 1-11-11-18 ambaye kufikia sasa anaendelea kutafuta njia ya kumnasa na kumharibia mipango yake mungu wao.

Hata hivyo kuna mbinu mpya tunayotaka kuwaelezea watu wa eneo hilo.

Jaribuni kufanya haraka sana ili kutoa kwa mara nyingine sadaka zenu ili kujiwekea ulinzi.

URGENT 1-14-14-18 amekawia tangu alipomtoa mama yake kafara hata sasa hajatoa mwingine akiulizwa anasema atatoa hivi karibuni.

Tunawashukuru sana wale wenzake watatu walioshirikiana na kuleta watu wengu kwa ajali.

NOTE: Tumieni mbinu hizi ili kulizuia hili kanisa alilonalo huyu

FORMER URGENT 0-15-15-666

Maana yake anaanza kupanda juu kila kukicha hivi anasikilizwa na ataendelea kusikilizwa kuwaimalisha waliokuwa hawana nguvu amepanga kuwaimarisha kinyume na mambo yetu. Jina la kanisa alipo ni M.D.S Kimekuwa kituo cha uponyaji cha adui yetu akimtumikia.

YAH; NJIA ZA KUWANASA:

Tumieni hii hata kwa makanisa mengine na hata mbali na hilo ili kuweza kufanikiwa:-

1. Kuzusha magombano baina ya waombezi ili kuwavunja wasiendelee kumtafuta mungu wao.

2. Sababisheni hadithi kwa wingi wanapoingia ndani ya makanisa yao wakati wa kuja kumwomba mungu wao.

3. Msiwaruhusu kuomba wakati wa kulala kwao (Janatus) maana hamuwezi kuwaona wakifunikwa na nguvu za mungu wao.

4. Msiwape nguvu au nafasi ya kusoma Biblia; badala yake wapeni wakati mwingi wa kusoma magazeti, kuangalia Television zao.

5. Sababisheni ufukara; mateso na pesa zao kupotea bila wao kujua ili wasimtolee mungu wao na walio na pesa roho ya ubahiri ya kutokutoa.

6. Inueni nguvu za kuzini makanisani kwao baina ya viongozi na washirika wao na vijana kwa wasichana ili kupata nafasi y kuzima nguvu zao.

7. Ibada zao ziwe baridi kabisa ili Roho wa mungu wao asipate nafasi ya kuongea na kusikia kutoka kwake.

8. Tumieni ajali maana damu yao tutaitumia katika vikao vyetu.

9. Akina mama wajawazito wazalishwe kwa operesheni ili kupata damu.

10. Tumieni ukimwi wa kutengeneza kama pigo kwao ili kuwamaliza na kuwaletea aibu katika vifo vyao.

11. Vurugeni umoja wa nyumba zao kati ya mke na mume, wazazi na watoto wao ili maombi yasipatikane.

ONYO KALI;

TAFADHALI MUWE NA UANGALIFU SAANA YA KWAMBA MAMBO HAYA YASIJULIKANE NA WAO. MBINU ZINGINE ZA KANISA MTAKUJA KUELEKEZWA KATIKA KIKAO KITAKACHOFANYIKA TAREHE 30/07/2011 “MU”D”

SENIOR URGENT: KUTOKA MAKAO MAKUU:

DW-SU: 13-1-3-18-9-1

Tafadhali tumieni usafiri aina tatu tu!

(a) Ungo (b) Kijiko na (c) Kioo

Pia vaeni mapazia rasmi mnapokuja katika mkutano ili kuhifadhi heshima yenu kwa wageni wetu kutoka (hapa kuna maandishi ya kiislamu).

UNDERGROUNE

Dugion Canada na ufilipino wakifundisha mbinu mpya za kukabiliana na makanisa pamoja na jamii zao. (Japokuwa: FORMER URGENT 0-15-15-666) anazifahamu!!

1 comment:

  1. watu wa MUMGU aliye hai kupita Jina La YESU, Asante kwa kutufumba macho na kujua nini kinachoendelea ktk uimwengu wa giza,na kwa kulijua hili nimejipanga kuendelea na kuzipinga kazi za adui ktk jina YESU. Mbarikiwe

    ReplyDelete