OTHER WEBSITE LISTS


Monday, July 25, 2011

mwakiteleko






Mhariri wa gazeti la Rai, na Naibu Mhariri Mtendaji wa New Habari, ambaye hatunaye tena, Danny Mwakiteleko, aliyefariki Jumamosi iliyopita baada ya kupata ajali Tabata jijini Dar es Salaam, maeneo ya TOT na kufariki Muhimbili akiwa ICU. leo anasafirishwa kwenda kwao Mbeya
Bwana ametoa Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe

No comments:

Post a Comment